✍️ 🧑‍🦱 💚 Autor:innen verdienen bei uns doppelt. Dank euch haben sie so schon 418.243 € mehr verdient. → Mehr erfahren 💪 📚 🙏

Makala Ya Utafiti Wa Kiswahili

Makala Ya Utafiti Wa Kiswahili

von Wanyenya Willy
Softcover - 9786200607706
35,90 €
  • Versandkostenfrei
Auf meine Merkliste
  • Hinweis: Print on Demand. Lieferbar in 5 Tagen.
  • Lieferzeit nach Versand: ca. 1-2 Tage
  • inkl. MwSt. & Versandkosten (innerhalb Deutschlands)

Autorenfreundlich Bücher kaufen?!

Beschreibung

Makala yaliyomo katika kitabu hiki yanajadili mambo makuu manne. Kwanza makala yanajadili umuhimu wa kufundisha lugha ya Kiswahili na matumizi yake katika nyanja mbalimbali. Kwa ujumla, makala haya yanajadili umuhimu wa Kiswahili na matumizi yake kwenye malezi ya watoto katika jamii za kiafrika. Hali kadhalika, makala haya yanajadili matumizi ya lugha hii katika kuelekeza wasichana kwenye masuala ya ndoa. Aidha, makala yanajadili sababu zinazowafanya wanafunzi wengi katika shule za sekondari nchini Uganda kutochukua somo la Kiswahili. Mwishowe, makala haya yanajadili mnyambuliko wa vitenzi katika lugha za kiafrika kwa kurejelea mfano wa Kimasaaba. Kitabu hiki kitawafaa sana wanafunzi na walimu katika shule za upili na wahadhiri wa Kiswahili katika vyuo vikuu.

Details

Verlag GlobeEdit
Ersterscheinung 21. August 2020
Maße 22 cm x 15 cm x 0.6 cm
Gewicht 149 Gramm
Format Softcover
ISBN-13 9786200607706
Seiten 88